Muzfi.com

Joel Lwaga & Diamond Platnumz — Nikumbuke

Joel Lwaga & Diamond Platnumz - Nikumbuke
  • Прослушиваний: 7
  • Размер: 9.38 MB
  • Длительность: 4:05
  • Качество: 320 kbps
  • Релиз: 28.09.2026
Слушать
Скачать
Joel Lwaga & Diamond Platnumz - Nikumbuke — слушай онлайн или скачивай бесплатно.

Текст: Joel Lwaga & Diamond Platnumz - Nikumbuke

[Intro]
(It's Kaniba)

[Verse 1: Joel Lwaga]
Ee Baba, sio kwamba nateseka
Ama nina wivu na baraka za wengine
Hapana niko sawa
Ee Baba, sio kwamba nakukumbusha
Kwamba labda umenisahau
Hapana, najua unanijua kwa jina
Unaona nayopitia

[Pre-Chorus: Joel Lwaga]
Ila kama mwanadamu kuna muda
Moyo unauma nazidiwa
Sa' n'tamueleza nani kama si wewe?
Mi ni kama mtu, kuna muda mambo
Yananizidia, nazidiwa
Sa' n'tamwambia nani kama si wewe?

[Chorus: Joel Lwaga]
Unapowabariki wengine
Usiniache na mimi
Usiniache na mimi
Baba nakungoja
Unapowapa riziki wengine
Unikumbuke na mimi
Unikumbuke na mimi
Baba nakungoja
Unapowabariki wengine
Usiniache na mimi
Usiniache na mimi
Baba nakungoja

[Verse 2: Diamond Platnumz]
Mmh-mmh-mmh-mmh
Riziki mafungu saba
Pengine la kwangu la sita
Ila wewe pekee ndio unaweza ibadili ata ikawa kumi
Sifikiri Mungu Baba kwamba mimi ndo mwema kabisa
Ila naomba ipokee ikipendeza dua yangu nifutie hali duni
Baba mimi nikila na kulala
Kupata shiba tu naridhika, wa...
Wape magari nipe ndala
Walau miba kusitirika
Ukinipa nyumba pia wala
Siwezi danganya n'tafarijika
Pengine Baba biashara
Wateja waje kutiririka

[Pre-Chorus: Diamond Platnumz & Joel Lwaga]
Maana kama mwanadamu kuna muda
Mambo yananizidi, nazidiwa Baba
Sa' n'tamueleza nani kama si wewe?
Oh-oh, kule ada, huku kodi ya pango
Na mfukoni sina kitu sina mambo
Sa' n'tamwambia nani kama si wewe?
Oh, Baba unapowabariki wengine...

[Chorus: Joel Lwaga & Diamond Platnumz]
Unapowabariki wengine
Usiniache na mimi
Usiniache na mimi
Baba nakungoja
Unapowapa riziki wengine
Unikumbuke na mimi
Unikumbuke na mimi
Baba nakungoja
Unapofuta machozi wengine
Usiniache na mimi
Usiniache na mimi
Baba nakungoja
Unapowainua wengine
Unikumbuke na mimi
Unikumbuke na mimi
Baba nakungoja

[Outro: Joel Lwaga]
Oh-oh, ooh
Baba nakungoja
Sina mwingine mimi
Baba nakungoja

Что ещё слушают вместе с этой песней:

Есть идея или по сотрудничеству — пиши: admin@muzfi.com